Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

WALICHOKISEMA YANGA BAADA YA KUTOKA MAAMUZI KESI YA MORRISON

Yanga 5?fit=800%2C445 WALICHOKISEMA YANGA BAADA YA KUTOKA MAAMUZI KESI YA MORRISON

Thu, 13 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuwa haujaridhishwa na hukumu iliotolewa Leo (Jana) na kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania katika shauri lao na mchezaji Benard Morrison.

Chanzo: zanzibar24.co.tz