Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viwanja 20 bora vinavyoshika chati ya FIFA

8922 RU TZW

Tue, 12 Jun 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kutana na viwanja vikali 20 ambavyo  vinavyoongoza kwa kila bara vikiwa kwenye viwango vinavyokubalika na Shirikisho la Soka Dunia (Fifa). Kiwanja cha Mohamed v, Casablanca kinapatikana nchini Morocco (Afrika)

Bara la Asia kuna Kiwanja cha Kimataifa cha Yokohama kipo nchini Japan.

Barani Ulaya kuna viwanja vya Anfield, Old Trafford na Wembley vivyonapatikana England Pia Pia Kiwanja cha Velodrome kipo nchini Ufaransa.

Vilevile Olympiastadion kipo Berlin nchini Ujerumani. Kingine ni kile cha Signal-Idna –Park katika nchi hiyo hiyo.

Nchini Italia kuna viwanja vya Giusppe Meaza-Milan. Kingine ni Stadio Olympico, Rome.

Hispania kuna Cam Nou kilichopo Barcelona na kile cha San Names kinachotumiwa na Bilbao pamoja na Santiago Bernabeu kinachomilikiwa na Real Madrid.

Pia Sweden kuna kiwanja cha Rasunda kilichopo Solna.

Amerika ya Kaskazni na Kati pamoja na Caribbean unakutana na kiwanja cha Estadio Azteca kilichopo jiji la Mexico.

Pia Rose Bowl kilichopo Los Anges Marekani.

 

Amerika Kusini

Kiwanja cha El Monumental kilichopo nchini Argentina.

Pia kiwanja cha Maracana kipo Rio de Janeiro nchini Brazili.

Vilevile kiwanja cha Estadio Centenario kipo nchini Uruguary.

 

Chanzo: mwananchi.co.tz