Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Yanga watakimbia mji, nitalipa kila neno la dhihaka walilosema kwa miaka minne – Manara

Wed, 9 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewapa pole watani zake wa jadi Yanga baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya USM Alger ya Algeria kwa kukubali kipigo cha mabao 4 – 0 huku akiwatakata kusubiri mpaka 2030 ndiyo watapa nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa.

Manara ameongeza kuwa atalipa kila neno la kebehi walilotoa ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita bila wao kutwaa ubingwa.

Loading...
Chanzo: bongo5.com