Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Mwanasheria wa Wambura aijibu TFF baada ya kushindwa rufaa

Video Archive
Sun, 8 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na aliyekuwa makamu wa rais wake, Michael Wambura hatimae mwanasheria wake anajulikana kama Emmanuel Muga amejitokeza na kumtetea mteja wake.

Shirikisho la soka Tanzania March 15 lilitangaza adhabu ya kumfungia maisha kwa kujihusisha na soka makamu wa Rais wake, Michael Richard Wambura baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu, moja kupokea pesa za TFF isivyo halali, kugushi na kushusha hadhi ya TFF.

Chanzo: bongo5.com