Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Marehemu Hans Pope Afanyiwa Dua Dar

Video Archive
Sun, 12 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mashaiki wa klabu ya Simba wamefurika katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kushiriki dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF na Kiongozi wa Simba Sc, ndugu, Zacharia Hans Pope.

Mashaiki wa klabu ya Simba wamefurika katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kushiriki dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF na Kiongozi wa Simba Sc, ndugu, Zacharia Hans Pope. Hans Poppe atakumbukwa kama miongoni mwa wadau wakubwa wa michezo katika nchi hii na ambae alisimama na Simba kwa kila hali.

Chanzo: globalpublishers.co.tz