Sun, 8 Apr 2018
Chanzo: bongo5.com
Baad ya aliyekuwa makamu rais wa TFF, Michael Wambura kukata rufaa kwenye kamati ya maadili kufiuatia kesi yake inayomkabili hatimae hii leo rufaa hiyo imetupiliwa mbali na kisha kamati hiyo ikaishauri Shirikisho hilo kuzipeleka tuhuma hizo kwenye vyombo husika vya kisheria.