Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Kaburu atinga Mahakamani kwa ‘mbwembwe’, Aveva hoi

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ leo (Alhamisi) ametinga Mahakamani Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Dola za Marekani 300,000, wakati mwenzake ambaye ni Rais wa Simba akishindwa kufika.

Chanzo: bongo5.com