Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Ridhiwan akanusha “Sio mimi niliesema CCM imeoza”

1760 Screen Shot 2018 01 23 At 12.59.04 AM 660x400.png

Tue, 23 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Jioni ya January 22 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kutokea kwenye ukurasa wa Instagram wa Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete ikionekana anakikosoa Chama chake cha CCM.

Ridhiwani amekanusha usiku huu kwa kusema ukurasa wake huo ulidukuliwa na kwamba sio yeye aliandika maneno mliyoyaona kuikosoa CCM, bonyeza play hapa chini kumtazama akiongea mwenyewe

.

Chanzo: millardayo.com