Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Okwi amedaiwa kupoteza fahamu uwanjani baada ya kupigwa kiwiko

2595 Wwwds 660x400

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Moja kati ya matukio yaliyotokea katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba ni kitendo cha mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi kudaiwa kuwa alipoteza fahamu baada ya kupigwa kiwiko na mchezaji wa Ruvu Shooting.

Okwi ambaye alipigwa kiwiko cha shingo na Mau Bofu wa Ruvu Shooting inadaiwa kuwa alianguka chini na kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa lakini hata baada ya fahamu kurudi alishindwa kuendelea na mchezo na nafasi yake ikachukuliwa na Laudit Mavugo.

Tazama video yenyewe hapa chini kwa kubonyeza PLAY

Manara baada ya Yanga kupata penati “Baadhi ya maamuzi ni kichefuchefu”



Chanzo: millardayo.com