Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Kiungo wa Kagera Sugar amezikwa kwao Tanga

Wed, 27 Mar 2019 Chanzo: --

Mchezo wa soa Tanzania weekend hii ilimpoteza kiungo wa club ya Kagera Sugar ya Kagera Behewa Sembwana ambaye alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo na kufanyiwa upasuaji mara mbili kabla ya alfajiri ya Jumapili ya March 24 kukutwa na mauti.

Mchezo wa soa Tanzania weekend hii ilimpoteza kiungo wa club ya Kagera Sugar ya Kagera Behewa Sembwana ambaye alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo na kufanyiwa upasuaji mara mbili kabla ya alfajiri ya Jumapili ya March 24 kukutwa na mauti. Behewa ambaye aliwahi kuzichezea timu mbalimbali kama Coastal Union U20 na wakubwa ya Tanga, Njombe Mji na Kagera Sugar, Behewa Sembwana amezikwa jana kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza Jijini Tanga, hii ni video ya baadhi ya watu waliojitokeza katika mazishi yake.

Chanzo: --