Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Updates: Yaliojiri Kesi Ya Morrison CAS leo, Soma Hapa

YANGA 1 7?fit=1080%2C755&ssl=1 Updates: Yaliojiri Kesi Ya Morrison CAS leo, Soma Hapa

Fri, 30 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Updates: Yaliojiri Kesi Ya Morrison CAS leo, Soma Hapa July 29, 2021 by Global Publishers



Mahakama ya kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo Julai 29, 2021 imemaliza kulisikiliza kesi ya rufaa ya Klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison.

Mara baada ya kumalizika kusikilizwa kwa kesi hiyo, CAS itatoa uamuzi kwa mujibu wa taratibu zake kuanzia sasa mpaka tarehe 24/08/2021.

Uongozi wa Yanga unawaomba Wanachama, Wapenzi na Mashabiki kuwa na subira, wakati huu ambapo Mahakama hiyo inaendelea kukamilisha uamuzi wake.



Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz