Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unai Emery kukabidhiwa mikoba ya Wenger wiki hii

8259 Skysports Unai Emery Arsene 4288807 TZW

Tue, 22 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza wiki hii aliyekuwa meneja wa Paris Saint-Germain, Unai Emery kurithi mikoba ya Arsene Wenger.



Emery ambaye ameachana na klabu ya PSG mwanzoni mwa mwezi huu ameonekana katika Jiji la London hapo jana siku ya Jumatatu akifanya mazungumzo na the Gunners.

Kocha huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 46, ameongoza klabu ya Ufaransa inayoshiriki na nafasi yake kuchukuliwa na Thomas Tuchel.

Chanzo kimoja cha karibu kimeeleza kuwa mazungumzo yanatarajiwa kufika tamati muda wowote huku Emery akiwa ni mtu pekee anaetarajiwa kurithi nafasi ya Arsene Wenger.
 

Loading...
Chanzo: bongo5.com