Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujerumani yamtangaza, Manuel Neuer kuwa nahodha wa timu ya taifa

8629 Sp04 Manuel Neuer TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mlindalango wa klabu ya FC Bayern Munich, Manuel Neuer amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani.



Neuer amekabidhiwa majukumu hayo hii leo wakati Kocha Mkuu wa timu hiyo, Joachim Low akikitangaza kikosi cha wachezaji 23 watakao iwakilisha nchi hiyo kwenye michuano ya kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi huu nchini Urusi.

Chanzo: bongo5.com