Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyson Fury Mwanamichezo mwenye mvuto zaidi Duniani

Tyson Fury Complete Tyson Fury

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia wa England, Tyson Fury amechaguliwa kuwa mwanamichezo mwenye mvuto zaidi Duniani kwasasa akiwashinda Cristiano Ronaldo, Anthony Joshua, Jack Grealish na nyota wengine akiwemo Travis Kelce.

Orodha ya nyota kumi (10) wenye mvuto zaidi Duniani.

1. Tyson Fury

2. Anthony Joshua

3. Travis Kelce

4. Lewis Hamilton

5. Cristiano Ronaldo

6. Erling Haaland

7. Jack Grealish

8. Rory Mcllroy

9. Lionel Messi

10. Conor McGregor

Ubingwa mwingine wa kujivunia kwa Tyson Fury mwaka huu ameupata

Chanzo: www.tanzaniaweb.live