Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Tulikuwa tumejipanga vizuri ila tumefanya makosa mawili ndio yametugharimu’-Mexime

1789 Manara 660x400

Tue, 23 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya timu ya Kagera Sugar kupoteza point tatu nyumbni kufuatia mechi yao dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa katika uwanja wa Kaitaba ndani ya manispaa ya Bukoba, Kocha wa timu hiyo Mecky Mexime ameeleza walipokosea.

Mexime amesema kuwa kikubwa walijipanga vizuri lakini wamefanya mistake mbili na hizo ndo zimewaadhibu na ameongeza kuwa bado wanajipanga hawajakata tamaa na wanaamini watapata tu matokeo.

VIDEO:Walichoonge Kocha wa Simba na Haji Manara baada ya kushinda goli mbili

Chanzo: millardayo.com