Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tariq asaini Yanga

88420 Pic+usajili Tariq asaini Yanga

Sat, 14 Dec 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Msahambuliaji wa  zamani wa Biashara United,Tariq Seif Kiakala  amesaini mkataba wa  miaka miwili kuichezea  Yanga Usajili huo ni kama utawapa ahueni mashabiki wa Yanga ambao ni kama waikosa raha baada ya kuondoka kwa wachezaji wap  wawili Juma Balinya na  Sadney Urikhob ambao wamevunja mikataba na klabu hiyo. Wachezaji hao waliachana na Yanga wiki hii baada ya kuomba kuvunja mikataba kwa kuchelewa kulipwa mishahara yao na klabu hiyo kuridhia wakidai nao walikuwa wanawapigia hesabu za kuwatema Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla  amesema licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi wanaendelea kupambana kuisuka timu hiyo na kwamba Kiakala umetangulia tu "Tunafurahi kukamilisha usajili  wamchezaji huyu muhimu  ambaye kazi yake inajulikana kwa wanaofuatilia mpira hapa nchini wanajua Yanga tumechukua mchezaji wa namna gani," alisema Msolla.

Chanzo: mwananchi.co.tz