Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yakosa tena Medali Olimpiki , Saliboko achemka

Collins Saliboko.jpeg Collins Saliboko

Tue, 30 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matumaini ya Tanzania kupata medali katika michezo ya Olimpiki inayoendelea Ufaransa yanazidi kupungua baada ya muogeleaji Collins Saliboko kutolewa leo Julai 30, 2024.

Saliboko ameshika nafasi ya saba katika Heat 2 Free Style iliyokuwa na waogeleaji nane akitumia muda wa sekunde 53.38 na hivyo kushindwa kutinga hatua ya fainali.

Mshindi katika Heat 2 alikuwa ni Purahoo Ovesh kutoka Mauritius aliyetumia muda wa sekunde 52.22.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live