Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TOP 20: Vinavyotajwa kuwa vilabu tajiri Duniani

1333 Screen Shot 2018 01 15 At 2.23.48 PM 660x400.png TZW

Tue, 16 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Moja kati ya stori zinazotrend katika soka ni pamoja na hii ya list ya vilabu 20 vya soka vyenye utajiri mkubwa duniani, list inaweza ikawashangaza baadhi ya watu lakini ukweli utajiri wa vilabu hivi umepimwa kwa kutumia vigezo  mbalimbali na sio matokeo ya uwanjani.

 TOP 20 ya vilabu tajiri duniani imetangazwa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali ikiwemo thamani za wachezaji wa timu inayowamiliki, assets, kiasi cha pesa club ilichonacho benki na wawekezaji.

Hii ndio TOP 20 yenyewe.

UTANI: Kwa nini Edo haizungumzii Arsenal”Kwa tamaduni zetu ni vibaya kumzungumzia vibaya Marehemu”

Chanzo: millardayo.com