Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF imetangaza kumfungia maisha leo

1609 Unknown.png

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF limemfungia maisha kujihusisha na soka msimamizi wa kituo cha Mtwara Dustan Mkundi kwa kukutwa na hatia ya kughushi na udanganyifu wa nyaraka za mapato ya mchezo kati ya Ndanda FC na Simba, game iliyochezwa katika uwanja wa Nangwanda.
Baada ya mwenyekiti wa kamati hiyo Hamid Mbwezeleni kutangaza adhabu hiyo, swali likaja kwa ishu hiyo mbona imeenda haraka na mamlaka za serikali kama TAKUKURU na Polisi hawajahusishwa wakati ni suala linalohusisha udanganyifu na kugushi.

VIDEO: Simba ilivyoiadhibu Singida United 4-0 leo, magoli yote yapo hapa

Chanzo: millardayo.com