Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

TFF 2?fit=700%2C467&ssl=1 TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

Thu, 22 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76 July 21, 2021 by Global Publishers



Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake kupitia vyombo za habari.

TFF muda mchache uliopita wametoa taarifa ya kusikitishwa huko, na kuisambaza kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. Taasisi hiyo ya Soka nchini imekiri kudaiwa fedha zaidi ya Milioni 70, baada ya kupunguza deni la zaidi ya shilingi milioni 500.



Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz