Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TCRA yazifungia nyimbo 13, Diamond na Nay maumivu zaidi

4010 Nay Wa Mitego Na Diamond Wakifanya Yao TZW

Wed, 7 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea list ya nyimbo 13 zisizokuwa na maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).



Nyimbo hizo ziliachiwa na wasanii katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii bila kupitishwa katika mamlaka husika kwaajili ya kuzikagua na baadaye kuiachia zipigwe.

TCRA imesema nyimbo hizo zina maudhui kinyume na maadili na Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005, hivyo mamlaka hiyo imeviagiza vyombo vya habari kusitisha kuzicheza ngoma hizo.

Chanzo: bongo5.com