Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Kocha wa Mwadui FC afariki dunia

1840 Ntambi TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Mwadui FC imepoteza kocha wake msaidizi, Jumanne Ntambi ambaye amefariki dunia hapo jana siku ya Jumanne mjini Shinyanga.



Ntambi amefariki dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

Enzi za uhai wake Ntambi amepata kuichezea timu ya Biashara Shinyanga na mpaka umauti unafika alikuwa akiitumikia klabu ya Mwadui FC.

Chanzo: bongo5.com