Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Swansea City yafikia makubaliano na Graham Potter 

8617 Skysports Potter Graham Oostersunds 4327766 TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Swansea City imefikia makubaliano na Muingereza, Graham Potter kuwa kocha mpya wa timu hiyo licha ya kuwa swala hilo halijawekwa wazi.



Inaelezwa kuwa Swans wanajipanga kumtangaza, Graham Potter mapema wiki hii, alipo zungumza na wanahabari,Potter amesema kuwa anahitaji mazungumzo zaidi na uongozi wa timu hiyo.

“Ni changamoto mno kuichukua klabu na kurejesha Ligi kuu na kuipatia utambulisho wake, kwahiyo hudhihirisha wazi kuwa itavutia ila bado kunanjia ndefu ya kufikia huko,”amesema Potter.

 

Loading...
Chanzo: bongo5.com