Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steve Nyerere aipinga kamati mpya ya Yanga ‘tunahitaji pesa sio maneno’

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanachama wa Yanga, Steve Nyerere Jumapili hii ameibuka na kueleza hisia zake juu ya kamati mpya za Yanga zilizochaguliwa katika Mkutano Mkuu uliofanyika siku ya jana. Wanachama wengi wa Yanga wanaoneka kumuitaji mbwana Yusuph Manji ambaye alijuzulu nafasi ya uenyekiti mapema mwaka baada ya klabu hiyo kukubwa na ukata mkubwa.

Loading...
Chanzo: bongo5.com