Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simbu ashika namba 3 Marathon Korea

Alphonce Simbu Mwanariadha wa Tanzania Alphonse Simbu

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanariadha wa Tanzania Alphonse Simbu ameshika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Daegu Marathon 2024 nchini Korea kusini yaliyomalizika hivi punde huku akizidiwa na wanariadha wawili raia wa Kenya, Stephane Kiprop na Kennedy Kimutai walioshika nafasi ya kwanza na ya pili.

Mwanariadha wa Tanzania Alphonse Simbu ameshika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Daegu Marathon 2024 nchini Korea kusini yaliyomalizika hivi punde huku akizidiwa na wanariadha wawili raia wa Kenya, Stephane Kiprop na Kennedy Kimutai walioshika nafasi ya kwanza na ya pili. Simbu anayejiandaa na michuano ya Olympic mwaka huu yatakayofanyika na Paris nchini Ufaransa kwenye mbio hizo za leo alikimbia umbali wa kilomita 42 kwa saa 2:07:55, akizidiwa sekunde 50 tu na mshindi wa kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live