Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaifunika mbaya Yanga

Simba Tuzooo Viongozi wa Simba wakipokea tuzo hiyo

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Juni13, 2022 Klabu ya Simba imeweza kupewa tuzo yake baada ya kuwapoteza wapinzani wao wa jadi Yanga kwenye mchakato wa kura.

Ni Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes.

Mbali na watani zao wa jadi Yanga pia Simba imeweza kuwashinda kwa kura Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting.

Ni Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez akiongozwa na timu nzima ya kitengo cha habari inayoongozwa na Ahmed Ally huku mpiga picha akiwa ni Rubbi Hume waliweza kupokea tuzo hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live