Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watawala kikosi kipya Taifa Stars

Boco Pic.jpeg Simba watawala kikosi kipya Taifa Stars

Fri, 28 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi.

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi. Kocha Kim ametangaza kikosi hicho leo huku akimjumuhisha mshambuliaji wa Mbeya City Denis Kibu kwa mara ya kwanza, na wachezaji kama Jonas mkude, Farid Mussa na Thomas Ulimwengu wakiachwa kwenye kikosi hicho.

Chanzo: millardayo.com