Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Simba ni Makolokolo FC, Kolo" Manara aanza kuwashambulia Jezi za Simba

Jjyyy 660x400 "Simba ni Makolokolo FC, Kolo" Manara aanza kuwashambulia Jezi za Simba

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za Haji Manara ambae time hii ameanza kazi rasmi upande wa pili wa Young African Yanga SC na kupitia ukurasa wake wa instagram leo Agosti 26, 2021 amepost jezi ya Simba na kuiita Makolokolo FC.

NI Headlines za Haji Manara ambae time hii ameanza kazi rasmi upande wa pili wa Young African Yanga SC na kupitia ukurasa wake wa instagram leo Agosti 26, 2021 amepost jezi ya Simba na kuiita Makolokolo FC. Unaweza ukabonyeza play ufahamu Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kile kilichosemwa na Haji Manara kuhusu jezi ya Simba.

Chanzo: millardayo.com