Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba adabu nyingi

9593 Pic+adabu TanzaniaWeb

Thu, 2 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kartepe. Kikosi cha Simba kimefika uwanjani kwa ajili ya mchezo wao na Mouloudia Club of Oujda nusu saa kabla ya wapinzani wao.

Simba inacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki na timu hiyo ya Morocco katika uwanja wa The Green Park.

Simba wamefika saa 9:00 na Mouloufia Club wakafika saa 9:30.

Mchezo wa Simba na Mouloudia unatarajia kuanza saa 10:00 jioni.

Mouloudia ni mabingwa mara moja kwa mwaka 1975 na mara nne kwa Ligi Daraja  la Pili mwaka 2003, 2007, 1964 na 2018.

Mabingwa wa kikombe cha Morocco kwa 1954, 1958, 1960 na 1962.

Hata hivyo, kocha wa Simba, Mbelgiji  Patrick Ausemms amesema, anauchukulia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi.

 

Chanzo: mwananchi.co.tz