Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho, Ikiipiga Yanga 1-0

Post From Simbasctanzania B0hd5u?fit=800%2C533&ssl=1 Simba Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho, Ikiipiga Yanga 1-0

Mon, 26 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Simba Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho, Ikiipiga Yanga 1-0 July 25, 2021 by cshechambo



KIGOMA is Red! Baada ya Simba kuwabamiza Watani zao wa Jadi Yanga kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Cup (ASFC) uliochezwa leo jioni Julai 25, kwenye dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.

Kwa ushindi huo Simba kutawazwa kuwa mabingwa wa kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo, ikiwa pia ni ubingwa wa tatu wa michuano hiyo kwa wekundu wa msimbazi.

Goli Pekee la Simba limepachikwa na kiungo Tadeo Lwanga akimalizia mpira wa kona ilichongwa na Luis Miquissone dakika ya 80’ ya mchezo.

Mukoko Tonombe alioneshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu nahodha wa Simba Jonh Bocco.

Simba msimu huu imefanikiwa kushinda mataji matatu,  ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho.

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz