Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba, Yanga kukutana Oktoba 18, uwanja wa Mkapa

56321c4b3a9eab2b474972bdba7aab3b Simba, Yanga kukutana Oktoba 18, uwanja wa Mkapa

Mon, 17 Aug 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

VIKOSI za Simba na Yanga vinatarajiwa kukutana Oktoba 18 mwaka huu katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya mechi kali na ya kihistoria kwenye msimu ujao wa 2020/21

Kwa mujibu wa ratiba ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2020/2021 iliyotolewa na Bodi ya Ligi nchini (TPLB) leo imeonyesha kuwa katika raundi ya saba vilabu hivyo vikongwe vya Simba na Yanga vitakutana.

Msimu ujao wa Ligi, timu zitakazoshiriki ligi zitakuwa 18.

Chanzo: habarileo.co.tz