Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali

Simbasctanzania 208650711 1928547500644748 3231163894506414445 N?fit=1080%2C719&ssl=1 Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali

Sat, 26 Jun 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

RASMI sasa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup) itawakutanisha Yanga na mabingwa watetezi Simba  leo Juni 26,  kuibuka na ushindi wa bao 1-0. kwenye dimba la Majimaji, Songea.

Goli pekee la Mchezo huo wa Nusu Fainali limewekwa kimiani na Luis Miquissone  dakika ya 89’akipokea pasi ya Bernard Morrison ya mpira wa adhabu ndogo uliochezwa ya Bernard Morrison aliyeanzisha mpira kwa haraka na kuwaacha mabeki wa Azam Fc wakiwa. wamezubaa.

Ushindi huo unaifanya Simba kuifuata hatua ya Yanga hatua ya Fainali itakayochezwa Juni 25 kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, Wananchi jana  walishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika nusu fainali ya kwanza.

Chanzo: globalpublishers.co.tz