Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Yaahirisha Jambo Lake

Simba 1?fit=600%2C400&ssl=1 Simba Yaahirisha Jambo Lake

Sun, 5 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Simba Yaahirisha Jambo Lake September 4, 2021 by Global Publishers Muonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba zitakazotumika mechi za nyumbani msimu wa 2021/22 kwenye mashindano mbalimbali.

Wekundu wa Msimazi Simba SC wameahirisha tukio la uzinduzi rasmi wa jezi zao mpya lililokuwa lifanyike leo Jumamosi Septemba 4,2021 Dar es Salaam.

Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, September 13-19, 2021.

Chanzo: globalpublishers.co.tz