Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC yaingiza Milioni 85 dhidi ya Al – Masry

4552 Simab TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Africa uliozikutanisha Simba ya Tanzania na Al Masry ya Misri uliochezwa Jumatano Machi 7,2018 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni Themanini na Tano Elfu Arobaini na Tano(85,045,000).



Mchezo huo uliingiza mashabiki Elfu Kumi na Nne Mia Saba Tisini na Nane(14,798).

VIP A waliingia Watazamaji 250 kwa kiingilio cha Shilingi 20,000 na kupatikana jumla ya shilingi 5,000,000,VIP B na C waliingia Watazamaji 557 kwa kiingilio cha shilingi 15,000 ikapatikana jumla ya shilingi 8,355,000,majukwa ya rangi ya Machungwa,Bluu na Kijani waliingia Watazamaji 13,644 kwa kiingilio ncha shilingi 5,000 imepatikana jumla ya shilingi 68,220,000.

Mgawanyo wa mapato

VAT    12,972,966.10

Selcom  5,017,655.00

TFF      3,352,718.94

Uwanja  10,058,156.83

Simba   43,585,346.28

Gharama za mchezo  6,034,894.10

BMT  670,543.79

CAF   3,352,718.94.

Chanzo: bongo5.com