Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yazungumza na Waturuki Ujenzi wa Viwanja nchini

Wizara Wachina.jpeg Serikali yazungumza na Waturuki Ujenzi wa Viwanja nchini

Sat, 18 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya ya ujenzi ya SUMMA yenye makao yake makuu nchini Uturuki.

Mazungumzo hayo yalihusu ujenzi wa viwanja vya michezo kwa lengo la kujadilii uendelezaji wa viwanja vya michezo na ujenzi wa viwanja vipya hapa nchini.

Kampuni ya SUMMA imejenga viwanja vya michezo katika nchi mbalimbali duniani zikiwemo Rwanda, Senegal na Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live