Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sergio Ramos aichuria Hispania, Ataja mataifa yenye nafasi ya kuchukua kombe la dunia

5401 DZBnOb9VoAAyhEy TZW

Wed, 28 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Beki kisiki wa timu ya taifa ya Hispania, Sergio Ramos ameiweka nje kando timu yake ya taifa kwenye mbio za kuwania kombe la dunia nchini Urusi mwaka huu.

Sergio Ramos

Ramos amesema kuwa anazipa nafasi kubwa timu za taifa za Ujerumani na Argentina kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia.

Nadhani Ujerumani na Agentina hii ya Messi zina nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa wa kombe la dunia mwaka huu,“amesema Sergio Ramos kwenye mahojiano yake na Waandishi wa Habari jana baada ya mazoezi mjini Madrid.

Leo Hispania itavaana na Argentina kwenye mchezo wa kirafiki unaotarajiwa kuwa na msisimko mkubwa usiku wa leo.

Chanzo: bongo5.com