Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senzo ateua wawili Simba

82600 Pic+senzo Senzo ateua wawili Simba

Sat, 2 Nov 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

UONGOZI wa klabu ya Simba umemteua Rispa Hatibu kuwa msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Senzo Mazingisa. Uteuzi huo unakuja baada ya Mazingisa kutokuwa na msaidizi tangu alipotambulishwa kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Septemba mwaka huu. Wakati huo huo, taarifa iliyotolewa na kurugenzi huyo ilieleza kumteua Hashim Mbaga kuwa Mkuregenzi wa Wanachama na Mashabiki. "Tunawakaribisha klabuni tukiwa na matarajio ya kuiwezesha klabu kupiga hatua na kuhakikisha kuwa jukumu la mabadiliko linafanikiwa," ilieleza taarifa hiyo. Taarifa hiyo ilieleza zaidi kwamba uteuzi huo ulianza kazi mapema tangu Oktoba Mosi mwaka huu.

Chanzo: mwananchi.co.tz