Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sauzi waweka rekodi mchezo wa Rugby

South Rugby Sauzi waweka rekodi mchezo wa Rugby

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afrika Kusini imekuwa timu ya kwanza kushinda Kombe la Dunia la Rugby mara nne hii ni baada ya kuichapa New Zealand 12-11 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Stade de France Ufaransa .

Afrika Kusini imekuwa timu ya kwanza kushinda Kombe la Dunia la Rugby mara nne hii ni baada ya kuichapa New Zealand 12-11 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Stade de France Ufaransa . Hii inafanya kuwa timu ya Rugby iliyofanikiwa zaidi Duniani .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live