Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sanchez ameweka wazi watu wa Arsenal wasimlaumu Thierry Henry

1871 Sequence 01.Still0363

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Inawezekana mashabiki wa Arsenal wakaendelea kumlaumu staa wa zamani wa Arsenal Thierry Henry kuwa ndio amesapoti na kumshawishi Alex Sanchez ahame Arsenal na kujiunga Man United, hiyo inatokana na kauli ya awali aliyoitoa Sanchez.



Sanchez alinukuliwa vibaya baada ya kusema “Nakumbuka leo nilikuwa na mazungumzo na Henry, moja kati ya wachezaji wenye historia na wameisaidia sana Arsenal” kauli hiyo wengi walitafsiri au kudhani kuwa huwenda mazungumzo ya Henry alikuwa akimshauri Sanchez aondoke.



Alex Sanchez amekanusha stori hizo kuwa hakuzungumza wala kushauriwa na Henry lakini Henry nae ametoa kauli kuhusiana na hicho kinachoendelea “Sikuwahi kumshauri Sanchez aondoke Arsenal na wala sikuwa na wazo kama anaenda kusaini ManUnited hadi nilivyoona kwenye vyombo vya habari kama watu wengine”



Alichokiandika Jerson Tegete baada ya Nyosso kumpiga shabiki

Chanzo: millardayo.com