Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta aipongeza TFF kwa mpango wao kwa wachezaji walioipeleka Stars AFCON

Wed, 27 Mar 2019 Chanzo: --

Baada ya nahodha wa Taifa Stars kutumia ukurasa wake wa instagram kuandika na kuomba kuwa TFF wasimsahau Shomari Kapombe katika mgao wa zawadi wa wachezaji waliyoipeleka Taifa Stars fainali za AFCON 2019 Misri, imeonekana ombi lake limefanyiwa kazi na kuipongeza TFF kuwa haijawasahau wachezaji wote waliohusika kuipambania nchi toka mwanzoni.

Baada ya nahodha wa Taifa Stars kutumia ukurasa wake wa instagram kuandika na kuomba kuwa TFF wasimsahau Shomari Kapombe katika mgao wa zawadi wa wachezaji waliyoipeleka Taifa Stars fainali za AFCON 2019 Misri, imeonekana ombi lake limefanyiwa kazi na kuipongeza TFF kuwa haijawasahau wachezaji wote waliohusika kuipambania nchi toka mwanzoni. Samatta kupitia twitter account yake alifuta tweet yake ya mwanzo na kuipongeza TFF kuwa na mpango wa kuwazawadia wachezaji wote, Rais Magufuli alitoa kiwanja kwa kila mchezaji na RC Paul Makonda alitoa Tsh milioni 10 kwa kila mchezaji aliyefanikisha timu kufika AFCON kupitia kamati yake ya uhamasishaji.

Chanzo: --