Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars - Video

Video Archive
Thu, 25 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video March 25, 2021 by Global Publishers



TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021 ambao ni maalum kwa ajili ya kufuzu Afcon nchini Cameroon.

Kocha wa Taifa Stars, Kim Pouseln amesema utakua ni mchezo mgumu lakini wamejindaa kuivaa Guinea huku akiamini wachezaji wake.

Aidha, Nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta, amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Equatorial Guinea ambao ni maalumu kwa ajili ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON.

Stars chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen iliweka kambi nchini Kenya ambapo ilicheza mchezo wa kirafiki mmoja dhidi ya Kenya na ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1.

Chanzo: globalpublishers.co.tz