Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

STARS KUPIMANA UBAVU NA WANACHIPOLOPOLO LEO SAA 1:00 USIKU

CHAN.png?fit=645%2C362 STARS KUPIMANA UBAVU NA WANACHIPOLOPOLO LEO SAA 1:00 USIKU

Wed, 20 Jan 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo saa 1:00 usiku itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya CHAN kwa kucheza na Zambia maarufu Chipolopolo.

Taifa Stars mara ya mwisho kucheza na Zambia ilikuwa kwenye COSAFA ambapo Tanzania ilipoteza magoli 4 – 2.

Kocha Mkuu wa Taifa Stars ni Etienne Ndayiragije akisaidiwa na Kocha Selemani Matola.

Chanzo: zanzibar24.co.tz