Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refa wa kike mtanzania kaitwa Ureno

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram umeandika taarifa nzuri kuhuisiana na muamuzi wa mchezo wa soka wa kike mwenye beji ya FIFA Jonesia Rukyaa.

TFF imetangaza kuwa refa Jonesia Rukyaa wa Tanzania ameteuliwa kuchezesha michuano ya Agarve Cup 2018 itakayofanyika nchini Ureno kuanzia February 28 hadi March 7 2018.

 

Kama hufahamu refa Jonesia ambaye ana beji ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA, amewahi kuchezesha mechi mbalimbali kubwa za Ligi Kuu Tanzania bara na kuonesha uwezo mkubwa.

VideoMAGOLI: Yanga vs Majimaji FC Feb 14 2018, Full Time 4-1

Chanzo: millardayo.com