Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ray Kennedy Afariki Dunia

Ray Kennedy Ray Kennedy Afariki Dunia

Wed, 1 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Liverpool, Ray Kennedy amefariki dunia Gwiji huyo amefariki jana Novemba 30 akiwa na umri miaka 71 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kennedy aling'ara akiwa na Arsenal kabla ya kuuzwa Liverpool kwa bei iliyovunja rekodi ya uhamisho.

Akafanya makubwa Liverpool ila akapata ugonjwa wa parkinson na kulazimika kustaafu. Ndoa yake ikavunjika na akauza medali zake ili ajitibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live