Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Leo Aprili 17

Yanga2?fit=502%2C330&ssl=1 Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Leo Aprili 17

Sat, 17 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Leo Aprili 17 April 17, 2021 by Global Publishers



LIGI Kuu Tanzania Bara leo Aprili 17 inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu kusaka poini tatu muhimu.

Coastal Union iliyo nafasi ya 11 na pointi 30 v Ruvu Shooting iliyo nafasi ya 8 na pointi 34, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 15 na pointi 24 v Kagera Sugar, iliyo nafasi ya 14 na pointi 26, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 51 v Biashara United, iliyo nafasi ya nne na pointi 40  Uwanja wa Mkapa, Dar.

Chanzo: globalpublishers.co.tz