Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia apokea Kombe la Dunia Ikulu (+Video)

Video Archive
Tue, 31 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Kombe la Dunia la Mashindano ya mpira wa Miguu (FIFA WORLD CUP) ambalo linatarajiwa kufanyika nchini Qatar kuanzia Novemba 21 mwaka huu mpaka Disemba 18.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Kombe la Dunia la Mashindano ya mpira wa Miguu (FIFA WORLD CUP) ambalo linatarajiwa kufanyika nchini Qatar kuanzia Novemba 21 mwaka huu mpaka Disemba 18. Hafla ya Kupokea Kombe hilo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Mei 31 ikiwa ni Ziara ya Kulitembeza Kombe hilo katika baadhi ya nchi za Bara la Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live