Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pogba akutwa na virusi vya corona

7797260579 Paul Pogba A Clairefontaine Le 20 Mars 2019 660x400 Pogba akutwa na virusi vya corona

Thu, 27 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amekutwa na virusi vya corona, kwa mujibu wa kocha Mfaransa Didier Deschamps

Mchezaji huyo mwenye miaka 27, atahitajika kujitenga na kumaanisha kwamba hatashiriki michuano ya Ligi ya Taifa la Ufaransa.

Mfaransa huyo alisafiri kwenda Sweden kushiriki michuano ya ufunguzi ya Timu ya Taifa Jumamosi, Septemba 5.

MTOTO ALIEFARIKI MWILI WAKE WAFUKULIWA VILIO, SIMANZI VYATANDA “WALIMUUA KIKATILI”

Chanzo: millardayo.com