Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha/Video: Refa wa mechi ya PSG aangushwa uwanjani na kuamua kuchukua maamuzi haya

1284 Screen Shot 2018 01 15 At 12.12.50.png TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Wikiendi hii ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 imeendalea kwa kuchezwa michezo mbalimbali. Kubwa zaidi nililofurahisha na kuwashangaza mashabiki wa soka ni kutoka kwa refa Tony Chapron ambaye alichezesha mchezo kati ya PSG na Nantes.



katika mchezo huo beki wa Nantes, Diego Carlos alitolewa nje ya uwanja baada ya kumuangusha refa wa mchezo huo na refa huyo kuamua kurudishia.



Katika mchezo huo PSG waliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Angel Di Maria kwenye dakika ya 12. Hizi ni picha za tukio hilo.







Chanzo: bongo5.com