Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Van Persie atupia bao lake la kwanza Feyenoord

2902 49027F1800000578 0 Image A 32 1518129146917 TZW

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezaji Robin van Persie hapo jana alifanikiwa kufunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na klabu ya Feyenoord na kuisaidia timu hiyo kuchomoza na ushindi wa magoli 3 – 0 dhidi ya FC Groningen.



Van Persie ambaye amesajiliwa mwezi Januari tangu aondoke ndani ya klabu hiyo mwaka 2004 alipo jiunga na Arsenal alifanikiwa kufunga bao hilo dakika ya 78 akitokea benchi.

Picha za Van Persie akionekana kushangiria bao lake akiwa na wachezaji wenzake.

Chanzo: bongo5.com