Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Mkhitaryan aanza mazoezi kwa mara ya kwanza ndani ya kikosi cha Arsenal

1815 Mikhtarian.png TZW

Wed, 24 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Henrikh Mkhitaryan ameanza mazoezi kwa mara ya kwanza toka alipojiunga na kikosi cha Arsenal na kuchukua nafasi ya Alexis Sanchez.



Kiungo huyo mshambuliaji ameondoka Manchester United na kujiunga na vujana wa Emirates siku ya Jumatatu ikiwa nisehemu ya dili la Sanchez kuihama timu hiyo na kujiunga na mashetani wekundu.

Mkhitaryan ameonekana kuvaa jezi namba 7 wakati wa mazoezi hayo hii leo siku ya Jumanne jezi ambayo ilikuwa ikivaliwa na Sanchez.



 

Chanzo: bongo5.com